Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Hivi hizo chanjo dozi million (1) ambazo wameleta kuwafanyia watanzania (wananchi ) majaribio wakati sisi tupo zaid ya 50 milion ma zaidi na @hamisi_kigwangalla huoni lengo au msaada huu hautawafikia watanzania wote.
Tukumbuke kuna chanjo ya HEPATITIS B niulize ni WATANZANIA wangapi wa hali ya chini ambao wamechoma chanjo hii? JE wananchi wa hali ya chini wanajua gharama hata za chanjo hii ya HEPATITIS B ?
Hata hii UVIKO 19 ni biashara na itafikia wakati watu wa hali ya chini hawatakuwa na uwezo wa kuichoma. Wanatumia nafasi hii kuiingiza na kuitangaza by free then biashara ije ianze.
Mimi nazidi kuwashauri ndugu zangu watanzania tuendelee kupenda vya kwetu na kuthamini vya kwetu NYUNGU is the best cure than that (vaccine)vaccination. Nyungu ni bora zaidi ya hizo chanjo tunazoletewa na MABEBERU