Nyuzi 3 ninazozichukia hapa JF

1. Makapuku Forum
2. Wamwisho ndiyo mshindi
3. Uzi wa kupeana likes
4.......ongeza wakwako.

Kuanzisha threads za kusema "nazichukia threads fulani "

Huwa nazichukia sana threads za namna hiyo, mtoa hebu shughulika na yale yanayokufurahisha haya yakusema nachukia kitu fulani ilihali kila siku unashughulika nacho ni kutuambia kuwa moyoni unakikubali.

Hizo threads huwa natembelea mara chache kuondoa stress na sijaziona kama zina matatizo.

Unions threads hizo zina matatizo fahamu kuwa wewe ndio una matstizo.
 
Usijaribu kulazimisha kitu ambacho wewe hukipendi na wengine wasikipende.Ni sawa na magazeti kuna aina flani ya gazeti huwa silipendi hata nikiliona limedondoka chini siwezi lisoma nachukua nafungia maandazi ila hii hainifanyi nishauri wengine wasilipende maana wako wanalipenda na pumba zake zinazoandikwa humo ila ninachokifanya nanunua lile ambalo roho yangu itafurahi.Usipoupenda uzi flani usiufungue fungua unaokuhusu
 
JF ni kapu la kila mtu. Kuna wengine tunashinda humu kujua kinachotokea duniani na hali ya nyumbani. Kuna wengine wanaingia kuondoa stress, kuna ambao wanapenda kutoa nyuzi za kuudhi na kuna hao wanaohitaji likes. You can not impress every person. Hata mimi nikiandika kuna watu wakishaona jina langu wana ignore sababu wanaona ninachoandika hakina maana. Wapo wanaonifuatilia kama ninavyofuatilia wengine. Swali, likes huwa zinakuwa na faida gani bila tija kwenye ubongo wa msomaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…