Nyuzi 3 ninazozichukia hapa JF

Kuna Siku nkaingia thread ya wa mwisho ndio mshindi duh aiseee nashangaa watu eti mule wanaulizana makazi cjui Mara huyu kasema nichek pm mara flani mrembo humu yaani khaaa Hata sielewi maana yake ya wa mwisho ndo mshindi but siichukii
 
Kuna ule wa wazee wenzangu wa kuweka mzigo,naukubali sana,kila weekend lazima niupitie!
 
Ngoja kuna yangu moja niliwaza kuianzisha naenda kuipost muda si mrefu utaongezea kwenye list yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…