Nimeshareport... Lazima tulitendee haki jukwaaTumsamehe kaka
[emoji2] [emoji2]Hujasain OB tangu juz
Poa ila sitaki mambo ya kunipa stressJitahidi uje uchote elimu kwenye majukwaa yote
Asante na kwako pia. Mwaka 2018 uwe mwaka wa mafanikio kwako.Ahsante. Uwe na heri ya mwaka mpya
Na kwako pia mkuu, uwe na mwaka wa mafanikio zaidiToa namba nikutumie ya soda kaka.. Heri ya mwaka mpya..
Ngoja nikasome piaKwangu mimi, katika jukwaa la Elimu kuna kichwa hatari san kinajiita Haber Faraday uzi "Chakula cha akili" watu ni wavivu tu wa kusoma makala ndefu lakini jamaa ni Extraordinary, jana tu nimelinyaka somo lake moja la kufungia mwaka ningeweza kuapload hapa japo hata bila idhini yake ningeliweka bt naona linanigomea.
tuna shukuru kwa pumzi ya bureHapo Mungu alijitahid kuniwekea uwezo wa ziada.. Nakariri na kukumbuka kwa kiasi kikubwa..
Heri ya mwaka mpya