Nyuzi bomba 2017 kutoka kila Jukwaa & JF man of the year

wapi jukwa la elimu n tecn.
 
Pongezi mkuu
 
Mimi binafsi najivunia kauzi kangu kamoja kupigiliwa kapini(Sticky) kule jukwaa la Mitindo & Utanashati

Mtu ukiona thread yako imefanywa sticky basi ujue ina umuhimu au ubunifu fulani hivi

Jf inaweza kuwa na thread mpya hata 1000+ kwa siku na hakuna inayobahatika kufanywa sticky maana jukwaa moja unaweza kukuta sticky ni thread tatu tu

Heri ya mwaka mpya wakuu
 
First of all..
Karibu sana Nyangema Bitoz ukapukuni.

Uzi wako pia unastahili kuwepo hapa ila sikuuweka hapa kwa sababu moja..Ulifunguliwa mwaka juzi 2016
Sawa mkuu
Nimekuelewa
 
Hahaha yaani bongo watu wanaendesha second hand cars halafu wanataka nyodo za emission tests...

Hapo lazima kulikuwa na ufisadi fulani unataka kufanyika...

Kama wanataka gari za TZ ziwe tested si wafanyie huko huko zinapotoka?

 
Mkuu nimeutafuta huo uzi wa GENTAMYCINE lakin nimeukosa naomba msaada wa kuupandisha hapa niweze kuusoma
 
Mtoa mada.....[emoji19] [emoji19] ...nyambaf kbs......,mbona jukwaa la michezo hamna??????......,au kisa mbao kafanya yake........,???
 
Halafu hadi ma..manzi unawaita ..man of the...man of the....,tabia gn hyo?????[emoji16] [emoji16]
 
Umesahau jukwaa letu la wambea.
Celebrities Forum.
Hapo nipo mimi na binamu yangu warumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…