Nyuzi zipi zina wachangiaji wengi?

kachwankizi

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
95
Reaction score
151
Jamii forum ndo jukwaa lenye mchanganyiko wa watu mbalimbali wakiwemo wasomi na watu wenye vitengo mbalimbali n.k. Hivyo wingi wa uchangiaji kwenye mada fulani unaweza kusaidia kuiona sura ya taifa.

Je wachangiaji wengi wapo kwenye nyuzi za siasa, michezo, vita, uchumi, harakati za maisha, elimu, teknolojia, mapenzi au burudani? Sababu ni nini na muelekeo wa taifa ni upi?
 
Nyuzi za mapenzi na Siasa!
 
zile za kula tunda kimasihara ndio zinabamba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…