Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
watu hawataki kujiswafi wakwetu...tena ngoja nimcheck maria roza kuna kirimu kimoja cha kujiswafi anacho kizuri kweli
kuna kitu kisafi aliweka maria roza mi nikamuuliza cream gani wanatumia kushevu siku pata jibu....hebu nidakulie na mimi wa kwetu
kufuga hizi kitu hapana kwa kweli......
Hhahaha hha nimecheka balaa nalifanyia kazi..
jamani, tumetofautiana,....................... mi ukitaka shughli yanguu uikubali, wewe nifugie hayo manywele..............na itokee ndo ukawa umebarikiwa na yale mamistari (stretch marks)................. hahah, naweza kuuza kila kitu nikafirisika kabisa..................
haya mambo jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
watu badala ya kuuliza faida na hasara za sehemu zenyewe za siri wanauliza mambo ya nywele????????????
mbona za kichwani hawaulizi????????????????,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kazi yake inaeleweka?????????
tujadili maendeleo na maisha bora kwa kila mtz
halafu vinyozi wakale polisi?Hakuna kunyoa nywele zozote, iwe kichwani, kidevuni, kifuani, kwapani, sentro etc.
Funga saluni zote za kunyoa......ras tafarai