Tetesi: Nywele za binadamu zimekuwa dili

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Igweeeee.......

Kuna jamaa mmoja amesema kuwa yeye amepata dili la kuuza nywele za binadamu nchini Kenya.

Nywele hizo hutumika kutengenezea viti vya ndege... Kwani husaidia viti kutobonyea.

Wadau hii ni kweli???

CL
 
Eee bhanaa eee
Kuna nywele za kwapani,kidevu,kichwani na kuleeeee kati kule tulikotokea
Ni zipi kati ya hizo?
 
Igweeeee.......

Kuna jamaa mmoja amesema kuwa yeye amepata dili la kuuza nywele za binadamu nchini Kenya.

Nywele hizo hutumika kutengenezea viti vya ndege... Kwani husaidia viti kutobonyea.

Wadau hii ni kweli???

CL
Acha uongo wew
 
Mimi nnavyojua Kuna washkaji kenya wanafanya biashara ya kuuza mito ya kulalia iliyotengeza kwa kujazwa nywele mule,
na wanasema ni mizuri kwa afya,
sasa hilo la siti za ndege huenda ikawa kweli
 
Igweeeee.......

Kuna jamaa mmoja amesema kuwa yeye amepata dili la kuuza nywele za binadamu nchini Kenya.

Nywele hizo hutumika kutengenezea viti vya ndege... Kwani husaidia viti kutobonyea.

Wadau hii ni kweli???

CL
Muulize mshana jr aliweka uzi wake wa nywele atakuwa anajua
 
Igweeeee.......

Kuna jamaa mmoja amesema kuwa yeye amepata dili la kuuza nywele za binadamu nchini Kenya.

Nywele hizo hutumika kutengenezea viti vya ndege... Kwani husaidia viti kutobonyea.

Wadau hii ni kweli???

CL
Kweli unazo kilo moja ksh 2000
 
Aje nimuuzie kipili pili changu maana jumamosi naenda kukikata
 
Kadri miaka inavyoenda naona kila kitu kitakuwa ni dili , ngoja nianze kuhifadhi kila aina ya uchafu naweza kupata mtonyo wa maana[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Igweeeee.......

Kuna jamaa mmoja amesema kuwa yeye amepata dili la kuuza nywele za binadamu nchini Kenya.

Nywele hizo hutumika kutengenezea viti vya ndege... Kwani husaidia viti kutobonyea.

Wadau hii ni kweli???

CL

Mnataka kuleta uhalifu wa kukata watu nywele kwa nguvu kwani sidhani kama zile za salon za kunyolea nywele zitatosha.
 
Back
Top Bottom