Tetesi: Nywele za binadamu zimekuwa dili

Tetesi: Nywele za binadamu zimekuwa dili

Igweeeee.......

Kuna jamaa mmoja amesema kuwa yeye amepata dili la kuuza nywele za binadamu nchini Kenya.

Nywele hizo hutumika kutengenezea viti vya ndege... Kwani husaidia viti kutobonyea.

Wadau hii ni kweli???

CL
tufanye biashara nilikuwa na mpango wa kwenda kunyoa saloon, nitakupataje ili nikupe nywele zangu
 
Back
Top Bottom