Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Nipo mkuu.mkuu upo....?
nakusalimia tu mkuu
hahaa hamna mkuu si unajua trna kuna wakati mambo yanaingiliana unakosa hata mda mzuri wa kufurahi na wakuu humu......Nipo mkuu.
Umepotea sana, au umekamatwa kama Airbus
Poa mkuu, ukiwa active mida hii pia inapendeza kuona kilichojiri humu kutwa nzima japo kwa muhtasarihahaa hamna mkuu si unajua trna kuna wakati mambo yanaingiliana unakosa hata mda mzuri wa kufurahi na wakuu humu......
ila tupo pamoko mkuu
Tobaaaaa,..
Nakazia apa weka picha babaEm weka picha kwanza tuone,tujue dawa ipi inaweza kukufaa..
Asithubutu kunyoa.Upele na kujikuna hadi atajuta.Nilijaribu nilipokuwa teeneger nilikoma.Historia inawataja kuwa zamani mlikuwa nyani. Uliona wapi nyani akakosa nywele tumboni.
Sahihi.Zamani tuliziita;Love garden
Yaani hizi mchepuko anajificha kabisaa jomonii Shunie
Mlikuwa nyaniii???wewe ulikuwa nani eti,pundamilia au??Historia inawataja kuwa zamani mlikuwa nyani. Uliona wapi nyani akakosa nywele tumboni.
nakazia hapaUkiona unakereka na vitu vinavyokupa sura ya kiume ujue unaelekea kuwa choko
Mijinywele yaanzia uvunguni, yapanda hadi kitovuni, tumboni, yapanda hadi kifuani, hiyoooo weeeee, yapanda shingoni, hiyo mijinywele yajaa usoni, yaenda hadi mgongoni, yaanza kushuka chini, hiyo hadi kiunoni, yateremka chini hadi vungu uvundo, kasheshe ukitaka kunyoa unaanzia wapi?