Nywele za kwapani,,,,!

Nywele za kwapani,,,,!

Si ungemuuliza huyo mdada

Kwako wewe unayejiita Maria Roza: Kumuuliza mtu swali personal na sensitive kiasi,inategemea sana mazingira.
Unaanzaje kumuuliza kwewnye daladala na huku kuna watu kibao,,,?
 
How are u ladies and gentlemen,,,,!

Jamani mwenzenu nimetoka moro ninakoishi na kwenda kumsalimia ndugu yangu anayeishi singida mjini.
Sasa leo j2 mida ya saa nne asubuhi nikiwa kwenye daladala kuelekea maeneo ya mwenge sekondari ndipo nikajikuta nimekaa siti ya pili ya daladala na huku abiria wengine wakiwa wamesimama.
Miongomi mwa abiria hao waliosimama alikuwepo dada mmoja wa ukweli na mwanaume yeyote akimuona basi lazima atataka kumwangalia tena na tena ili kutoyanyima macho yake haki ya msingi ya kuona na kutizama.
Dada ni mrefu,mwili wa wastan,kifua hakijapigwa jeki na vingine vingi.
LAKINI BAADA YA YEYE KUINUA MKONO NA KUSHIKILIA BOMBA NDIPO NIKAONA MSITU WA NYWELE KWENYE KIKWAPA CHAKE NA NI NDEFU ZAIDI HATA YA NCHI TANO.
Nilipomuuza mwenyeji wangu akaniambie eti ni 'FASHION' Sasa mi naomba nijue ukweli wa hili jambo.

Sema tu ulimtamani yule mdada so ule msitu ndo ulifanya u back up. Anyway, kwa vile mwenyeji wako amekuambia kuwa hiyo ni kawaida ya wana Singida, so fanya uchunguzi yakinifu hapo Singida, then leta mrejesho nyuma hapa JF.
 
How are u ladies and gentlemen,,,,!

Jamani mwenzenu nimetoka moro ninakoishi na kwenda kumsalimia ndugu yangu anayeishi singida mjini.
Sasa leo j2 mida ya saa nne asubuhi nikiwa kwenye daladala kuelekea maeneo ya mwenge sekondari ndipo nikajikuta nimekaa siti ya pili ya daladala na huku abiria wengine wakiwa wamesimama.
Miongomi mwa abiria hao waliosimama alikuwepo dada mmoja wa ukweli na mwanaume yeyote akimuona basi lazima atataka kumwangalia tena na tena ili kutoyanyima macho yake haki ya msingi ya kuona na kutizama.
Dada ni mrefu,mwili wa wastan,kifua hakijapigwa jeki na vingine vingi.
LAKINI BAADA YA YEYE KUINUA MKONO NA KUSHIKILIA BOMBA NDIPO NIKAONA MSITU WA NYWELE KWENYE KIKWAPA CHAKE NA NI NDEFU ZAIDI HATA YA NCHI TANO.
Nilipomuuza mwenyeji wangu akaniambie eti ni 'FASHION' Sasa mi naomba nijue ukweli wa hili jambo.

ni fashion hizo kwani hujui? huku kwetu zinaitwa SOMETHING FROM THE VILLAGE.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kuna wengine wanaziachz hadi zinaota ukungu/utando mweupe mweupe hivi, hapo ndo utakimbia.
 
sasa hao hawazioshi. we hujaona zile zinazotunzwa zinakuwa black pia kitu inang'aa utadhani imewekwa super black....
 
dah mimi mwenyewe kidume lakini full time kwapa langu kipara, hata za huku ikulu nako lazima ninyoe..najua wanaume wengi hawanyoi, ila kama ni mwanamke hata kama mzuri vipi akiwa na msitu kwapani tu, kashapoteza mvuto kwangu..Hivi kama kwapani kuko hivyo je uko kwingine vp?
 
Sa wewe kanuni ya kutunza mazingira na misitu yetu imekupiga chenga! Wake up man!
 
dah mimi mwenyewe kidume lakini full time kwapa langu kipara, hata za huku ikulu nako lazima ninyoe..najua wanaume wengi hawanyoi, ila kama ni mwanamke hata kama mzuri vipi akiwa na msitu kwapani tu, kashapoteza mvuto kwangu..Hivi kama kwapani kuko hivyo je uko kwingine vp?

Wewe kanuni ya kutunza mazingira na 'misitu' yetu imekupiga chenga. Wake up man!
 
Back
Top Bottom