moonlightj12
Member
- Dec 6, 2022
- 33
- 90
Imekua ni utamaduni kwa wanawake kunyoa sehemu za siri na kubakiza upara kabisa, hii inaweza kusababisha kushambuliwa kwa urahisi na bakteria.
''Unavyonyoa sehemu za siri, unasababisha usumbufu kwenye ngozi, tumeona watu wanajikata, na maambukizi pia.''
Kama unataka kunyoa, unapaswa kutumia wembe safi, mpya, na unyoe namna ambayo nywele zimeota, ili kuepusha nywele kuota vibaya.
Lakini pia nywele zinatakiwa zibaki kwa sababu kwa namna moja ama nyingine husababisha athari kwa masuala ya ngono.
Nywele zina maana yake, na ni sehemu muhimu kati ya ngozi na sehemu za siri.