Nywele za sehemu za siri zipo hapo kwasababu

moonlightj12

Member
Joined
Dec 6, 2022
Posts
33
Reaction score
90
Imekua ni utamaduni kwa wanawake kunyoa sehemu za siri na kubakiza upara kabisa, hii inaweza kusababisha kushambuliwa kwa urahisi na bakteria.

''Unavyonyoa sehemu za siri, unasababisha usumbufu kwenye ngozi, tumeona watu wanajikata, na maambukizi pia.''

Kama unataka kunyoa, unapaswa kutumia wembe safi, mpya, na unyoe namna ambayo nywele zimeota, ili kuepusha nywele kuota vibaya.

Lakini pia nywele zinatakiwa zibaki kwa sababu kwa namna moja ama nyingine husababisha athari kwa masuala ya ngono.

Nywele zina maana yake, na ni sehemu muhimu kati ya ngozi na sehemu za siri.
 
Huwa unaziacha zile zinazokuota hadi mlango ule unaoangalia kuzimu ukiwa msalani au [emoji848]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sawa nitaihubiri hii injili
 
Ni kweli hupaswi kunyoa mavuzi kipara! Kwani mavuzi yana act kama ngao...
 
Nywele sehemu za Siri au kwapani husababisha K kunuka au kwapa kunuka! Usihalalishe uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…