Nywele za sehemu za siri zipo hapo kwasababu

Umesema kuwa nywele zinatakiwa zibaki kwa sababu kwa namna moja ama nyingine husababisha athari kwa masuala ya ngono. Ni athari gani hizo? Una ushahidi gani kuwa kunyowa nyele sehemu za siri kuna athari zozote zile?
 
Bila picha huu uzi itakuwa unauza chai tu. Hebu tuone jinsi ambavyo wewe umenyoa
 
Naunga mkono hoja. Kiuhalisia kwa upande nikikutana na mwanamke aliyenyoa mavuzi yakabaki kdg km usawa wa nywele za kuchania brush, huwa napata hamu zaidi ya tendo. Lkn nikikutana na aliyenyoa kipara kbisa, nakosaga Vibe. Sitombi kwa raha
 
Research Yako ni fake kama ni gono au kaswende atapata tu
 
Ngozi inatakiwa ifunikwe na nywele, kinachotakiwa ni usafi wa hali ya juu. Mungu aliweka hizo nywele kwa kusudi maalumu.
 

Na zile zinazootaga kabisa kwenye mdura wa kariakoo shimoni kuja mpaka maenea ya mbezi gedeni huku mbele chni kabisa zina madhara kunyoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…