Nywele za singa tukutane hapa tushauriane

Nywele za singa tukutane hapa tushauriane

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,530
Reaction score
9,550
Uzi huu ni maalum kwa wale ote wenye nywele za singa,tumeane dondoo jinsi ya kuzitunza kama mafuta na mengine mengi ili ziwe za kuvutia zaidi.
Nawasilisha
 
Mimi sijazitunza mda mrefu hadi zimeanza kuwa kama za hawa wenye vipili pili. Ila ntaanza kuzitunza soon maana madada duh walikua wanavutiwa nazo sana.

Team_kitonga
 
Mimi sijazitunza mda mref had zimeanza kuwa kama za hawa wenye vipili pili. Ila ntaanza kuzitunza soon maana madada duh walikua wanavutiwa nazo sana.

Team_kitonga
zikitunzwa vizuri huleta mvuto mno kwa muhusika
 
Back
Top Bottom