jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Uzi huu ni maalum kwa wale ote wenye nywele za singa,tumeane dondoo jinsi ya kuzitunza kama mafuta na mengine mengi ili ziwe za kuvutia zaidi.
Nawasilisha
Nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zikitunzwa vizuri huleta mvuto mno kwa muhusikaMimi sijazitunza mda mref had zimeanza kuwa kama za hawa wenye vipili pili. Ila ntaanza kuzitunza soon maana madada duh walikua wanavutiwa nazo sana.
Team_kitonga
hata kma mwanaume lakini utanashati ni muhimu mkuuDaaah wanaume wa kweli mnajadili urembo wenu? Dunia imekwisha