Uzi huu ni maalum kwa wale ote wenye nywele za singa,tumeane dondoo jinsi ya kuzitunza kama mafuta na mengine mengi ili ziwe za kuvutia zaidi.
Nawasilisha
Mimi sijazitunza mda mrefu hadi zimeanza kuwa kama za hawa wenye vipili pili. Ila ntaanza kuzitunza soon maana madada duh walikua wanavutiwa nazo sana.