Nywele zangu kipilipili

Nywele zangu kipilipili

Yangadamu

Senior Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
164
Reaction score
107
Habari za mda huu sasa kuna ttz moja huwa linanisumbua nywele zangu hazikui kabsa yaaani lkn nimejrb kutmia dawa ya kuza bado ziko hivyo hivyo ombi langu kwenu kama kuna mtu anajua dawa nyngn za haraka anisaidie tafadhari
 
Nywele ni matunzo tuuu inawezekana huzitunzi vizuri ndo maana. Na umeeka dawa au natural. Kama natural nakushauri kuna page insta inaitwa natural desire official mtafute yule dada atakusaidia kukuelekeza jinsi ya kuzitunza.
 
Asant sana
 
We si Yanga ndiyo maana,
Wana yanga wote vipili pili... [emoji23] [emoji1] [emoji108]
 
Back
Top Bottom