Nywele zangu zinanyonyoka zinaacha nafasi kchwani

Nywele zangu zinanyonyoka zinaacha nafasi kchwani

karibu nikupe suruhisho mkuu
IMG_20211010_094631_006.jpeg
 
Nahitaji msaada je nitumie vitu gani ku recover io protein loss?

Kuna mafuta gani yanaweza nisaidia shida hii. Au solution nyingine yoyote ya tatizo!!?
Nakuomba utafute mafuta ya mbegu za maboga mixer na mnyonyo tumia miezi mitatu-sita halafu uje ulete mrejesho.

Udadisi wa majarida umependekeza pia ulaji wa mbegu za maboga. Na hii sio kwa nywele tu hata tezi dume inasaidia kuonyesha kwamba haya mambo yana uhusiano wa mojakwamoja.
sahiliproductions.JPG
 
Vipi ulifanikiwa kuziweka nywele zako sawa ???

Zko sawa now!! Nliambiwa stress znachangia na ni kweli i was so stressed nlivokua Advance na misosi ya advance haikua na protein za kutosha msee
 
inaweza kuwa ni maswala ya protini lakini kitu kikubwa kinachosababishaga pia kipara ni upigaji wa punyeto wa muda mrefu kwani huathiri zaidi nywele kunyonyoka na hata ngozi kuwa haieleweki
Tuliopiga nyeto kwa miaka 20 na hatunyonyoki nywele tuko kundi gani?
Kumbukumbu huyo dogo kasema ana 20 hapo inamaana kwenye chama la chaputa hata ukatibu wa kitongoji hawezi kuupata maana hana muda mrefu chamani
 
Nyoa zote kabisa, anza upya usiweke/ usitie dawa yoyote, na usivae wigi

Zikianza kuota tafuta mafuta ya curl uwe unapaka hope you will be okay
 
Back
Top Bottom