Utakua umeiba mume wa mtu kaombe msamaha harakaa
Ha ha ha yaani ww mawazo yako.....nafikiria zikitoka zote sijui itakuwaje.Si atakuwa kama Umaga
Kitaalamu hiyo hali huitwa alopecia totalis, sina uhakika kama hospitali za Tanzania zinatoa treatment ya hiyo kitu...
Lakini jaribu kujichunguza kwa makini huenda ukawa una mapunye au fungial infections katika ngozi ya kichwa chako, wakati mwingine hii huleta upara au nywele kupunyuka...
Acha basiii, ,kama yale mapicha ya zombies hua yanatoka nywele kichwanii
Ee mjini hapa ukiniibia nakugeuza albino kabisa
MziziMkavu njoo umsaidie mgonjwa hapa
Dada mpendwa,Habari wanajf.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26,sijawahi kupatwa na tatizo lolote kuhusu nywele,ila tangu juzi nimeshangaa kuona nywele zangu zikipukutika kichwani.Yaani nikizishika tu zinatoka zenyewe na sehemu iliyotoka nywele inabaki kipara kabisa.
Nisaidieni jamani sijui ni kitu gani hiki ,au imesababishwa na nini??
Asanteni.
Ha ha ha daaaah me natamani zingenyonyoka za chini huku na zisiote tena,ninge save cost pia yakununua shave machine.
Njoo Oriflame tukupe dawa inayozuia tatizo hilo na mengine kuhusu nywele..piga 0655868643 ukihitaji
Habari wanajf.