Nywele zangu zinatoka zenyewe kichwani

Nywele zangu zinatoka zenyewe kichwani

prax

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
27
Reaction score
8
Habari wanajf.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26,sijawahi kupatwa na tatizo lolote kuhusu nywele,ila tangu juzi nimeshangaa kuona nywele zangu zikipukutika kichwani.Yaani nikizishika tu zinatoka zenyewe na sehemu iliyotoka nywele inabaki kipara kabisa.
Nisaidieni jamani sijui ni kitu gani hiki ,au imesababishwa na nini??
Asanteni.
 
Utakua umeiba mume wa mtu kaombe msamaha harakaa
 
Ha ha ha yaani ww mawazo yako.....nafikiria zikitoka zote sijui itakuwaje.Si atakuwa kama Umaga

Acha basiii, ,kama yale mapicha ya zombies hua yanatoka nywele kichwanii
Ee mjini hapa ukiniibia nakugeuza albino kabisa
MziziMkavu njoo umsaidie mgonjwa hapa
 
Last edited by a moderator:
Kitaalamu hiyo hali huitwa alopecia totalis, sina uhakika kama hospitali za Tanzania zinatoa treatment ya hiyo kitu...

Lakini jaribu kujichunguza kwa makini huenda ukawa una mapunye au fungial infections katika ngozi ya kichwa chako, wakati mwingine hii huleta upara au nywele kupunyuka...
 
Mungu amsaidie apone......!!
 
Acha basiii, ,kama yale mapicha ya zombies hua yanatoka nywele kichwanii
Ee mjini hapa ukiniibia nakugeuza albino kabisa
MziziMkavu njoo umsaidie mgonjwa hapa

Ha ha ha daaaah me natamani zingenyonyoka za chini huku na zisiote tena,ninge save cost pia yakununua shave machine.
 
Last edited by a moderator:
Zinanyonyoka za kichwani tu au hadi kwa bibi?
 
Habari wanajf.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26,sijawahi kupatwa na tatizo lolote kuhusu nywele,ila tangu juzi nimeshangaa kuona nywele zangu zikipukutika kichwani.Yaani nikizishika tu zinatoka zenyewe na sehemu iliyotoka nywele inabaki kipara kabisa.
Nisaidieni jamani sijui ni kitu gani hiki ,au imesababishwa na nini??
Asanteni.
Dada mpendwa,
Usijali sana ...hata uondoe wasiwasi wako katika hilo, Kuna factors nyingi huchangia kupukutika kwa nywele, Tulia zitarudi kichwani bila shaka yyte. kwa umri wako hakuna shida ni mabadiliko ya hormoni, upungufu wa damu na mambo madogo madogo.
Waweza tumia Multivitamin au minerals supplements... punde zitajaa tena upendeze zaidi. kila la heri sista.
 
Njoo Oriflame tukupe dawa inayozuia tatizo hilo na mengine kuhusu nywele..piga 0655868643 ukihitaji
 
nafikiria tatizo lako nikusaidiaje nitakurudi nikipata suluhisho la uhakika
 
Habari wanajf.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26,sijawahi kupatwa na tatizo lolote kuhusu nywele,ila tangu juzi nimeshangaa kuona nywele zangu zikipukutika kichwani.Yaani nikizishika tu zinatoka zenyewe na sehemu iliyotoka nywele inabaki kipara kabisa.
Nisaidieni jamani sijui ni kitu gani hiki ,au imesababishwa na nini??
Asanteni.

Ugonjwa huo unaitwa Alopecia Aerata....Arusha kuna duka la dawa za asili ya India maeneno ya Jogoo House...Hiyo dawa inaitwa "nagod" inauzwa kuanzia shilling 7000....Unapaka kichwani kwa kukfanyia kichwa masaji kwa muda wa dakika 10 (kama unasugua).....utaendelea kupaka mpaka nywele zitakapoanza kuota...Maana hatuna za nywele kuota huchukua muda sana...Hata miezi sita....Ila dawa hiyo inatibu kabisa.....Ni- Pm nikupe maelekezo..
 
Mara ugonjwa wa Alopecia Aerata mara nyingi ni Auto-immune Disease unaosabaisha Inflamamtion katika air follicles...Chanzo chake hasa huwa hakijulikani...Ila mara nyingi watu wenye Msongo wa mawazo na Stress wanakuwa katika Risk kubwa ya kupata Alopecia aerate....Kama Una stress Jaribu kupunguza Stress na relax...Kula vyakula pia vyenye Protein kwa wingi...Ni Pm kwa maelezo zaidi...
 
Waliosomaga kimandolu sec arusha watakuwa wanamkumbuka yule dada aliyekuwaga na kipara yaani nywele zilikuwa hazioti tena bahati nzuri losaru alimpa ruksa ya kuvaa kitambaa na alikuwa hakitoi.. Wengi walikuwa wanasema alitembea na mume wa mtu yule mwanamke akamroga
 
Habari wanajf.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 26,sijawahi kupatwa na tatizo lolote kuhusu nywele,ila tangu juzi nimeshangaa kuona nywele zangu zikipukutika kichwani.Yaani nikizishika tu zinatoka zenyewe na sehemu iliyotoka nywele inabaki kipara kabisa.
Nisaidieni jamani sijui ni kitu gani hiki ,au imesababishwa na nini??
Asanteni.

Kwanza ni nywele za aina gani;
1.kichwani
2.kwapani
3.papuch au k
4.tueleze sasa tukupe ushauri
 
Back
Top Bottom