Nywila (Password) ya Maisha

Nywila (Password) ya Maisha

Richard mtao

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
262
Reaction score
361
Habari wana JF.

Leo nimeona nikusogezee huu uzi utakusaidia kwa namna moja ama nyingine.

Watu wengi hivi leo wamekuwa wakidharaulika sana, kuumizwa sana, wengine kupotezwa kabisa kwenye gemu (upambani au biashara) kwa kushindwa kutengeneza mfumo mzuri wa ulinzi wa taarifa zao au mambo ambayo wanafanya au wapo mbioni kuyafanya.

Wanafeli kwasababu wamejisahau na kumwamini kila mmoja kitu ambacho ni kosa kubwa sana katika maisha ya kileo. Kwasasa unapaswa kufahamu mambo yafuatayo:-

1. Mtu pekee anaetaka ufanikiwe kuliko yeye ni Baba na Mama ako tu.

2. Tumezungukwa na watu wenye akili tegemezi na za kibinafsi- yaani mtu anaamini akitumia wewe atafanikiwa zaidi kuliko kutumia akili na utashi wake kujitafuta na kujipata. Yaani ni hivi, Mtu anakubali kutoa taarifa zako kwa maadui zako ili apate pesa au nafasi.

Mwingine, anakubali kukusemea vibaya ili yeye aonekane mzuri na mwema zaidi ili apewe nafasi au pesa.

Sasa suluhisho la haya mambo ni nini?

1. Tambua aina ya watu wanaokuzunguka, kwa maana ya tabia zao na weka mipaka ya mahusiano yenu.

-kumbuka hapa mjini au hata vijijini kuna aina tatu za watu

1. Marafiki
2. Watu wa karibu
3. Wanafiki

Lakin pia kati ya hawa kuna 1.wanaokuoenda saana
2. Wanaokuchukia sana
3. Wanaokuona huna maana yoyote.

2. Hakikisha unaamini kichwa na tumbo lako tu.
Yaan hata mke au mpenzi ulienae usimuamini kiasi kwamba umruhusu kujua kila aina ya jambo lako maana katika mapenzi watu wengi wenye uwezo mkubwa wamepotezwa. Hata historia ya vitabu vya dini ipo wazi.

Nasisitiza weka mipaka, weka lock ya maisha yako. Najua watu wanatumia njia nyingi kuku unlock lakini kaza utanishukuru badae.

Hata kwenye sanaa ya mapigano ukijua weakpoint ya mpinzani ndio ushindi wako huo.

3. Epuka mijadala, marumbano au mabishano yasiyo na tija.
Tabia za watu zinadhihirika sana katika matukio ya msimu na ya muda mfupi, hivyo hakikisha unashiriki au kuzungumza au kutoa hoja katika mijadala inayoeleweka endapo ni muhimu sana kufanya hivyo. Sio lazima kila mjadala uchangie.
Vilevile, sio lazima uchangie kila kitu, kaa kimya sikiliza kwa makini utapata vingi vya kujifunza na kuwaelewa walimwengu.

4. Wakati mwingine, jifanye mjinga.

Hii itamchanganya adui yako au mtu ambae hana nia njema na wewe kwa kudhani huna madhara ama huna lolote.

Inshort jifunze kuwachanganya watu wanaokufatilia. Usikubali kufahamika maisha yako kama kuku ambavyo inajulikana kutwa nzima atazurura zurura kutafuta chakula na jioni atarudi kulala.

Kumbuka world is changing, we have to change too. Keep the pace as world change.

KIRAKA👍
 
Ahsante sana Mkuu.
 
yes bro, watu tumekariri kwamba intelijensia n mpaka uwe afisa usalama.. kiuhalisia intelejensia ipo kila mahali kwa lengo la kudumisha usalama wa majambo fulani
Be warry of friends. Hii imekaa kiintelejesia . Makini sana.
 
Mkuu hii madini ni nzuri inawaka
 
Back
Top Bottom