Nzela

Nzela

eRRy

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
1,126
Reaction score
206
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=hxi-9550q8Y"]http://www.youtube.com/watch?v=hxi-9550q8Y[/ame]
 
Pamoja na kupenda huu wimbo, Sipati huu wimbo kwenye comp yangu, unachelewa sana, au umekosea kupost.
 
Surely a sweet song and sweet melodies.
Inanikumbusha mdogo wangu wa kike akiitwa Sela ambaye alidangayika kama stori ya Nzela!
Inanitia simanzi jinsi familia inavyopata taabu kumrudisha dada yao liyepotea.
 
Jameni Nahitaji vibao vya Justin kalikawe na Senzo! mwenye link anisaidie au kama CDs au tapes zinapatikana Mnisaidie....Thanx
 
hata mimi nahisi hivyo ila naupendaga sana!!
 
Back
Top Bottom