Tetesi: Nzige dar es salaam

Tetesi: Nzige dar es salaam

kamanda wa makamanda

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2015
Posts
629
Reaction score
492
Wadau habari za asubuhi wadau! Dar pia kuna viashiria vya kuvamiwa na nzige, naomba serikali ifanye utafiti wake vizuri, kuepusha hili balaa la nzige lililoanzia nchini kenya na sasa kuonekana hadi dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nzige wakuje huku bushi tutawala kinoma, wanaume wa Dar mmezidi uoga.... hata mvua siku moja tu mnalialia.
 
Jamnai wengine nzige tunawasikia kwa bible hebu waje tuwaone ...tuheshimiane hapa mjin
 
Back
Top Bottom