Nzige kuvamia Ukanda wa Afrika Mashariki kwa mara ya pili

KWANZA WALIANZA NA NZIGE WAJE KULA MAZAO YETU AFU BAADAE IKAJA CORONA ILI TUKIWEKWA KARANTINI TUFE NJAA MAANA CHAKULA HAKITASHIKIKA
Waafrika tujiandae kuna kitu kibaya kinaandaliwa juu yetu
 
Yaani nzige wanasubiri kipindi watu wapo lockdown na wao wanaibukia mashambani[emoji3]!
 

Sina hakika km hii taarifa ya FAO imeletwa kwa nia ya kusaidia... wanadai kuna kuchelewa kwa pesticides kutufikia kwa sababu ya delays za COVID 19 infection ... inachukua muda gani kuleta hayo madawa tatizo la COVID 19 limeanza kuwa universal hardly two months ago... tatizo la nzige limekuwepo kabla ya restrictions hizi ambazo zinakua sababu ya dawa kuchelewa kufika EA
 
2020
Unapiga hatua mbili unarudi kwenye sifuri, unajikakamua tena unapiga hatua mbili unarudi kwenye sifuri tena. Halafu unaanza mwaka 2021 pale uliposhia 2019.
Huu mwaka balaa
 
Hawa nzige nasikia wanaliwa na baadhi ya makabila, mimi nilipotoka nimekula kumbikumbi sana, na kule kagera wana kula senene ambao ni jamii ya nzige. Hivyo hawa Nzige wanaweza kuliwa na madhara yake yasionekane, cha msingi tuwatafute walaji.

Nilisikia kuna njiwa au aina ya ndege hufugwa china na hutumika kuwala nzige kabla hawajafika nchini humo, Je, wataalamu wetu wa kilimo wameshajaribu kuwasiliana na serikali ya china kuhusu hilo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…