Nzige wameingia uganda mji wa kitiguu wageuzwa kitoweo

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Mamlaka ya nchini UGANDA aimekiri kuonekana nzige maelfu wakiwa KTK mji Mmmoja

HABARI zaidi zinasemaa wananchii wahapoo wameamua kuwageuza kitoweoo na jamboo HILO limefanya kijiji hikoo kuvamiwa na watu WA JIRAN kuweza kupataa kitoweo cha kilasiku

Olewaooo waanzie Bukoobaa wastashaaa kwakwelii
2.png
1.png
 
Waendelee tu kula kila aina ya panzi wanaomuona pia wasishtuke wakijikuta ndani ya COLONA B. kama wenzao.
Nzige mkuu wanaliwa tena vizuri tu! Very nutritious! Usukumani tukiwa machungani tulikuwa tunakamata wale panzi madume kwa majike. Madume tuliuwa tunaita gaga! Majike unakuta yana mayai ndani sasa ukiyakaanga ni bonge la kitoweo! Wakija Usukumani watakuta kuijui Sukuma Land!
 
Kwahioo unashaurii wapitiie bodaa ya silari mpwaa wasipitee mtukulaa
 
Ukisoma kitabu cha MAMBO YA WALAWI Mungu alimpa Musa maagizo kwa wana wa Israel ambao ni kizazi cha kale,na maneno hayo ni haya

"
katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake".(Mambo ya walawi 11 : 22)

Pia kuna mtumishi wa Mungu aliitwa Yohana(mbatizaji),yeye pia chakula chake kilikuwa nzige na asali.

"Naye Yohana mwenyewe alikuwa na vazi lake la singa za ngamia, na mshipi wa ngozi kiunoni mwake; na chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu."(Mathayo 3 : 4)

Hivyo basi alichokiruhusu Mungu kiliwe hakina shida kwa maana yeye ndiye aliyeviumba,na alichokikataza kisiliwe hakipaswi kuliwa kwani vikiliwa alivyokataza ndo madhara yake yanayoonekana.
Waendelee tu kula kila aina ya panzi wanaomuona pia wasishtuke wakijikuta ndani ya COLONA B. kama wenzao.

CHIFWINOLOGY²
 
Nzige mkuu wanaliwa tena vizuri tu! Very nutritious! Usukumani tukiwa machungani tulikuwa tunakamata wale panzi madume kwa majike. Madume tuliuwa tunaita gaga! Majike unakuta yana mayai ndani sasa ukiyakaanga ni bonge la kitoweo! Wakija Usukumani watakuta kuijui Sukuma Land!

Aisee mkuu adi nimesisimka unataka kuniambia radha yake ni kama senene au

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zaidi ya senenee mkuu...nilionaa mwakajajana Uganda's wanavyowapikaabaisee dah wameingiaa choooo chaa kikoo KUANZIA hukoo
 
Nzige mkuu wanaliwa tena vizuri tu! Very nutritious! Usukumani tukiwa machungani tulikuwa tunakamata wale panzi madume kwa majike. Madume tuliuwa tunaita gaga! Majike unakuta yana mayai ndani sasa ukiyakaanga ni bonge la kitoweo! Wakija Usukumani watakuta kuijui Sukuma Land!
Gaga na whungo (whungu), sude na selebhea, dah. Umenikumbusha panzi enzi hizo aisee! Ukiwakaanga watamu kinoma.
 
Nasikiaaa NDIO WALIWAPA NGUVU KuoA wake ZAIDI ya mmojaa dah mkovizuri jipangeni sirali paler mnamalizana naoo maraa kabisaa
 
Nzige mkuu wanaliwa tena vizuri tu! Very nutritious! Usukumani tukiwa machungani tulikuwa tunakamata wale panzi madume kwa majike. Madume tuliuwa tunaita gaga! Majike unakuta yana mayai ndani sasa ukiyakaanga ni bonge la kitoweo! Wakija Usukumani watakuta kuijui Sukuma Land!
Ukisoma kitabu cha MAMBO YA WALAWI Mungu alimpa Musa maagizo kwa wana wa Israel ambao ni kizazi cha kale,na maneno hayo ni haya

"
katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake".(Mambo ya walawi 11 : 22)

Pia kuna mtumishi wa Mungu aliitwa Yohana(mbatizaji),yeye pia chakula chake kilikuwa nzige na asali.

"Naye Yohana mwenyewe alikuwa na vazi lake la singa za ngamia, na mshipi wa ngozi kiunoni mwake; na chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu."(Mathayo 3 : 4)

Hivyo basi alichokiruhusu Mungu kiliwe hakina shida kwa maana yeye ndiye aliyeviumba,na alichokikataza kisiliwe hakipaswi kuliwa kwani vikiliwa alivyokataza ndo madhara yake yanayoonekana.

CHIFWINOLOGY²
Nimewahi kuonja senene ila kwa panzi, nzige..? Daah sijui naanzaje labda nilishwe nikiwa sijitambui haki ya nani!
 
kuna nzige wa aina mbili kuna nzige wastaarabu wanaopatikana mahala pengi tu kipindi cha masika hao wamaliwa

halafu kuna nzige waoitwa nzige wa jangwani hao wanaitwa askari wa MUNGU hua anawatumia kulipiza kisasi na kutuliza hasira zake kwa wanadamu pale nchi inapofanya yasiyostahili hasa kumwa damu ya watu wasiyokua na hatia!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom