Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Mkuu mbona kama tumetoka sehemu moja? Hebu nipm huenda wewe ni jirani yangu aisee!Unakumbuma mkuu tukiwa machungani tulivyokuwa tunawatunga kwenye kamba? Ukitoa ile miguu ya nyuma (tunaita mapando) wanatengeza tundu hapo ndipo unapitisha kamba yako unakuwa kama mtungo fulani hivi! Ilikuwaga burudani sana wakati huo! Watoto wetu wanaya-miss haya maisha pole yao aisee!
Tunawatunga kwenye kamba za katani (wunela) kwa kutumia ule mwiba wake. Au kwa kutumia kijiti flani kirefu hivi chembamba kama spoku ya baiskeli.