Nzige mkuu wanaliwa tena vizuri tu! Very nutritious! Usukumani tukiwa machungani tulikuwa tunakamata wale panzi madume kwa majike. Madume tuliuwa tunaita gaga! Majike unakuta yana mayai ndani sasa ukiyakaanga ni bonge la kitoweo! Wakija Usukumani watakuta kuijui Sukuma Land!Waendelee tu kula kila aina ya panzi wanaomuona pia wasishtuke wakijikuta ndani ya COLONA B. kama wenzao.
Kwahioo unashaurii wapitiie bodaa ya silari mpwaa wasipitee mtukulaaNzige mkuu wanaliwa tena vizuri tu! Very nutritious! Usukumani tukiwa machungani tulikuwa tunakamata wale panzi madume kwa majike. Madume tuliuwa tunaita gaga! Majike unakuta yana mayai ndani sasa ukiyakaanga ni bonge la kitoweo! Wakija Usukumani watakuta kuijui Sukuma Land!
Waendelee tu kula kila aina ya panzi wanaomuona pia wasishtuke wakijikuta ndani ya COLONA B. kama wenzao.
Nzige mkuu wanaliwa tena vizuri tu! Very nutritious! Usukumani tukiwa machungani tulikuwa tunakamata wale panzi madume kwa majike. Madume tuliuwa tunaita gaga! Majike unakuta yana mayai ndani sasa ukiyakaanga ni bonge la kitoweo! Wakija Usukumani watakuta kuijui Sukuma Land!
Zaidi ya senenee mkuu...nilionaa mwakajajana Uganda's wanavyowapikaabaisee dah wameingiaa choooo chaa kikoo KUANZIA hukooAisee mkuu adi nimesisimka unataka kuniambia radha yake ni kama senene au
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanakulaaa maviinnn??!Hawa Nzige nasikia ni wale wenye harufu mbaya sana na huwa hawaliki, Uganda cjui wamewala VP,
Sent using Jamii Forums mobile app
Gaga na whungo (whungu), sude na selebhea, dah. Umenikumbusha panzi enzi hizo aisee! Ukiwakaanga watamu kinoma.Nzige mkuu wanaliwa tena vizuri tu! Very nutritious! Usukumani tukiwa machungani tulikuwa tunakamata wale panzi madume kwa majike. Madume tuliuwa tunaita gaga! Majike unakuta yana mayai ndani sasa ukiyakaanga ni bonge la kitoweo! Wakija Usukumani watakuta kuijui Sukuma Land!
Nasikiaaa NDIO WALIWAPA NGUVU KuoA wake ZAIDI ya mmojaa dah mkovizuri jipangeni sirali paler mnamalizana naoo maraa kabisaaGaga na whungo (whungu), sude na selebhea, dah. Umenikumbusha panzi enzi hizo aisee! Ukiwakaanga watamu kinoma.
Mkuu panzi watamu sana. Enzi hizo sisi tulikuwa hadi tunawauza.Nasikiaaa NDIO WALIWAPA NGUVU KUKAA wake ZAIDI ya mmojaa dah mkovizuri jipangeni sirali paler mnamalizana naoo maraa kabisaa
Nzige mkuu wanaliwa tena vizuri tu! Very nutritious! Usukumani tukiwa machungani tulikuwa tunakamata wale panzi madume kwa majike. Madume tuliuwa tunaita gaga! Majike unakuta yana mayai ndani sasa ukiyakaanga ni bonge la kitoweo! Wakija Usukumani watakuta kuijui Sukuma Land!
Nimewahi kuonja senene ila kwa panzi, nzige..? Daah sijui naanzaje labda nilishwe nikiwa sijitambui haki ya nani!Ukisoma kitabu cha MAMBO YA WALAWI Mungu alimpa Musa maagizo kwa wana wa Israel ambao ni kizazi cha kale,na maneno hayo ni haya
"
katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake".(Mambo ya walawi 11 : 22)
Pia kuna mtumishi wa Mungu aliitwa Yohana(mbatizaji),yeye pia chakula chake kilikuwa nzige na asali.
"Naye Yohana mwenyewe alikuwa na vazi lake la singa za ngamia, na mshipi wa ngozi kiunoni mwake; na chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu."(Mathayo 3 : 4)
Hivyo basi alichokiruhusu Mungu kiliwe hakina shida kwa maana yeye ndiye aliyeviumba,na alichokikataza kisiliwe hakipaswi kuliwa kwani vikiliwa alivyokataza ndo madhara yake yanayoonekana.
CHIFWINOLOGY²
Hii COLONA B ni ya Bongo tu tofauti na CORONA.Waendelee tu kula kila aina ya panzi wanaomuona pia wasishtuke wakijikuta ndani ya COLONA B. kama wenzao.
Hasa kutengeneza sambusa.Mkuu panzi watamu sana. Enzi hizo sisi tulikuwa hadi tunawauza.