Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Mkuu mbona kama tumetoka sehemu moja? Hebu nipm huenda wewe ni jirani yangu aisee!Unakumbuma mkuu tukiwa machungani tulivyokuwa tunawatunga kwenye kamba? Ukitoa ile miguu ya nyuma (tunaita mapando) wanatengeza tundu hapo ndipo unapitisha kamba yako unakuwa kama mtungo fulani hivi! Ilikuwaga burudani sana wakati huo! Watoto wetu wanaya-miss haya maisha pole yao aisee!
We umesikia wap?Hawa Nzige nasikia ni wale wenye harufu mbaya sana na huwa hawaliki, Uganda cjui wamewala VP,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekubali mkuu wewe kweli ni Msukuma original! Ndiyo hivyo mkuu, Mimi natoka Busega ambayo sasa hivi iko Simiyu, zamani tulikuwa Magu, Mwanza.Mkuu mbona kama tumetoka sehemu moja? Hebu nipm huenda wewe ni jirani yangu aisee!
Tunawatunga kwenye kamba za katani (wunela) kwa kutumia ule mwiba wake. Au kwa kutumia kijiti flani kirefu hivi chembamba kama spoku ya baiskeli.
Sasa mkuu wewe unatuona wa ajabu sisi tunaokula panzi, sasa nyie Wagogo mnaokula Viwavi Jeshi?Hivi tumekosa mboga mpaka tuanze kula panzi?
Wakijichanganya tu wamekwisha!Kwahioo unashaurii wapitiie bodaa ya silari mpwaa wasipitee mtukulaa
WOte ndio wale wale,utakulaje wadudu? Mbona mboga TZ zipo nyingi tu.Sasa mkuu wewe unatuona wa ajabu sisi tunaokula panzi, sasa nyie Wagogo mnaokula Viwavi Jeshi?