Kwhyo mkuu bata walikua wanapaa kula hao nzige uko hewaniChina boda yao waliingia nzige laki 2 mamlaka ya wachima ikapeleka bata laki 6 hapi boda,mchezo ukaishia hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwhyo mkuu bata walikua wanapaa kula hao nzige uko hewaniChina boda yao waliingia nzige laki 2 mamlaka ya wachima ikapeleka bata laki 6 hapi boda,mchezo ukaishia hapo.
Kwny hio video,hao nzige walikua wanapaa tu mkuu?Kwhyo mkuu bata walikua wanapaa kula hao nzige uko hewani
Naona kama siasa inaingizwa katika shughuli hii ya kudhibiti nzige. Waziri aliongea kwamba wanapulizia dawa na watakua wamewamaliza nzige wote kwa muda wa siku mbili au tatu tu!Wametokea kenya kupitia same. Mbona waziri wa kilimo alisema atawadhibiti kwa dawa.
Kaka ni kweli, tunapigwa Changa la macho kwenye hili sakata.Naona kama siasa inaingizwa katika shughuli hii ya kudhibiti nzige. Waziri aliongea kwamba wanapulizia dawa na watakua wamewamaliza nzige wote kwa muda wa siku mbili au tatu tu!
Kwa maoni yangu jambo hili sio jepesi kama inavyoelezwa na wanasiasa. Wenzetu Wakenya wanapambana na makundi ya nzige kwa zaidi ya miezi sita sasa na bado hawajafanikiwa kuwamaliza pamoja na kua wao wana vifaa vya kisasa zaidi kuwasaidia kupambana na mlipuko huo
Ni vizuri Wizara ya Kilimo na Serikali yetu kwa ujumla vifanye juhudi za makusudi kuweka mikakati endelevu ya kupambana na wadudu hawa waharibifu ikiwa ni pamoja na kushirikiana bega kwa bega na wenzetu wa Kenya