Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Jiwe tumpe nani??mbona sifa zote ni za sizonje? Ok sizonje tumbatize jina hili la ngolo kante!
jiwe tumpe kante!Jiwe tumpe nani??
Hahahaha kweli akiziendekeza frustration zitamtoa rohoPunguza hasira mkuu! Usiwe na frasteshen zitakuua.
Paul Scholes alikuwa na tabia hiyo piaNadhani hujaangalia mechi nyingi za huyo kiumbe wa ajabu! Hakuna cha inferior anaanzaje kuwa enfirior kwenye timu yenye WACHEZAJI WEUSI KAMA YEYE 14 kati 23? KANTE hajawahi kujiona inferior....kuna watu wameumbwa wapole,KANTE huwa anajua kucheza mpira tu hajui kushangilia,hajui kulalamika kwa ufupi jamaa ni mpole hadi amepitiliza akikulamba buti atakuacha anaondoka zake na ukimlamba hatokutazama usoni atainuka ataendelea na maisha yake.Akipewa kadi alalamiki hata kama kaonewa
Pole mkuu umejaa sumu kali mwiliniHuo ni upuuzi... msisifie upuuzi!
Being inferior ts quite different from being humble!
Huyo jamaa inferiority complex inamtesa...badala ya kumhurumia nyie mnamsifia!
Saa zingine nakuwa na frastushweni zangu hahaaaPunguza hasira mkuu! Usiwe na frasteshen zitakuua.
Duhh! Una bahati sanahata kipind tuna cheza naye chandimu alkua hvyo hvyo
Huo ni upuuzi... msisifie upuuzi!
Being inferior ts quite different from being humble!
Huyo jamaa inferiority complex inamtesa...badala ya kumhurumia nyie mnamsifia!
Mimi ni mf wa Ngolo Kante
110,000£ ni cheap labour, sawa sawa!Ng'olo Kante: the Cheap Labour😀
Mzigo anaopiga ni wa kulipwa hiyo hela!?.. Au kwako cheap labour ni nini!?..110,000£ ni cheap labour, sawa sawa!