N'zonzi aliomba baadhi ya wachezaji wa Ufaransa ili Kante apige picha na kombe

N'zonzi aliomba baadhi ya wachezaji wa Ufaransa ili Kante apige picha na kombe

He is believed to be single and there no any information regarding his past affairs.
 
mbona sifa zote ni za sizonje? Ok sizonje tumbatize jina hili la ngolo kante!
 
Ngolo
FB_IMG_1531764279764.jpg
 
Nadhani hujaangalia mechi nyingi za huyo kiumbe wa ajabu! Hakuna cha inferior anaanzaje kuwa enfirior kwenye timu yenye WACHEZAJI WEUSI KAMA YEYE 14 kati 23? KANTE hajawahi kujiona inferior....kuna watu wameumbwa wapole,KANTE huwa anajua kucheza mpira tu hajui kushangilia,hajui kulalamika kwa ufupi jamaa ni mpole hadi amepitiliza akikulamba buti atakuacha anaondoka zake na ukimlamba hatokutazama usoni atainuka ataendelea na maisha yake.Akipewa kadi alalamiki hata kama kaonewa
Paul Scholes alikuwa na tabia hiyo pia
 
Huo ni upuuzi... msisifie upuuzi!

Being inferior ts quite different from being humble!

Huyo jamaa inferiority complex inamtesa...badala ya kumhurumia nyie mnamsifia!
Pole mkuu umejaa sumu kali mwilini
 
nasikia jamaa hana dem.wala historia ya kuwa na dem ina anamfukuzia mtoto wa bilionea wa kifransi mwenye asili ya Afric a anayefanya biashatea za madini
 
Huo ni upuuzi... msisifie upuuzi!

Being inferior ts quite different from being humble!

Huyo jamaa inferiority complex inamtesa...badala ya kumhurumia nyie mnamsifia!

England mnapata Tabu Sana
 
Back
Top Bottom