Well, they can still try! No harm in trying and many say that the chrges also were wrong so he could shave off a few more years. Hii appeal case ndo itakuwa very interesting maana hukumu hii imevuta hisia ya watu wengi sana.
Susuviri,
Don't you think kama angechukua plea deal basi his terms would have
been lower? Nilivyomcheki OJ akiongea kwenye runinga, ungedhani
kasakamwa na kiazi cha moto kooni.It had dawned on him that this time
around he was gonna do some serious time...kiburi chote kiliisha!
Kem fikiria under the current circumstances itabidi amalize 9yrs kwanza
nd'o awe legible to apply for parole.History has shown that parole boards
do not grant paroles to folks on their first attempt.Kwa hivyo he will be
denied kisha arudi asubiri the next one which could range anywhere from
a year or two depending on the state ( I believe ni Nevada in this case)
Kazi sasa ni hio appeal case ambayo najua ita-drag na mawakili
watatengeza hela ya bure.Mungu amsaidie OJ!