Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Big Result Now
Itaongeza kwa namna gani? Muda huo unatokana na uwepo wa a-level?Wizara ya elimu imesema kwamba inarudisha madarasa ya o-level kwenye shule zilizokuwa na a-level tupu lengo ni kuwapa nafasi watoto wa darasa la saba ambao wanaufaulu wa kati na ambao wamekosa nafasi ya kwenda kwenye shule za vipaji maalumu kupata nafasi katika hizo shule ,hii itaongeza /itatoa nafasi kwa watoto hao kupata muda wa kutosha wa kujisomea
Kweli kaka!Ila waambieni waache dharau za kuita 4m5 nyumbu wa kiangazi
Kweli kaka!Ila waambieni waache dharau za kuita 4m5 nyumbu wa kiangazi
hahaaa nakumbuka olevel form five wakija tulikuwa tunawaita njuka wa kiangaz/nyoya wa kiangaz/form one wa kiangaz..
Halafu hivi ule utaratibu kwamba ukirisiti matokeo yako ya awali yanafutwa bado upo kweli au maneno yasiyo kweli ya watu? Na je ukipata credit unaweza kufanya mtihani kama private candidate? Jamani mtuelimishe tusiojua
Wizara ya elimu imesema kwamba inarudisha madarasa ya o-level kwenye shule zilizokuwa na a-level tupu lengo ni kuwapa nafasi watoto wa darasa la saba ambao wanaufaulu wa kati na ambao wamekosa nafasi ya kwenda kwenye shule za vipaji maalumu kupata nafasi katika hizo shule ,hii itaongeza /itatoa nafasi kwa watoto hao kupata muda wa kutosha wa kujisomea