O-Ten (Philipo Nyandindi), yuko wapi siku hizi?

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,806
Reaction score
4,370
Kwa wale wapenda burudani naomba niwaulize swali msani oten sk hizi yuko wapi?mwenye taarifa tafadhali?
 
Enzi zake Bifu lake na afande lilivuma sana ikafikia hadi kuimbana ila ilipendeza pale walipomaliza tofauti zao na kufikia kuimba kibao kwa pamoja wakiujulisha uma uadui sio jambo jema ukizingatia wao wote wawili wanatokea sehemu moja(Mkoa mmoja)
 
Ni kweli walifanya kitu kizuri cha kuigwa walipomaliza bifu lao na afande sele
 
nimemsikia kwenye nyimbo fulani hivi ya
akipendacho binti ft linex
 
nyimbo yake ya nicheki ilibamba sana.
Hebu nicheki ninavyong'ara..

Kila demu anavutiwa kimapenzi nami...

East Coast enzi zao ukiongezea na ile Ama zangu ama zao sio mchezo
 
Alikua akiishi yombo vituka sijui kwa sasa yupo wapi..,,
 
Kama vp ahamie kwa mkubwa fella atarudi kwenye game.
 
Huyu kijana alikuwa mkali sijuwi tatizo itakuwa ni nini maana ni long time tumemic michano yake
Afande naye kimya
Dudubaya kimya
Mabinti wa kitanga kimya
Squeezer kimya
Lazima hiki kiwanda cha muziki kina dosari flani si bure
 
yupo pale Maisha Club ya Morogoro chapombe sana..
 
Huyu kijana alikuwa mkali sijuwi tatizo itakuwa ni nini maana ni long time tumemic michano yake
Afande naye kimya
Dudubaya kimya
Mabinti wa kitanga kimya
Squeezer kimya
Lazima hiki kiwanda cha muziki kina dosari flani si bure

Kuna tetes baadhi ya wadau wa mziki wanachangia wasanii wetu kupotea kwenye gemu
 
Huyu kijana alikuwa mkali sijuwi tatizo itakuwa ni nini maana ni long time tumemic michano yake
Afande naye kimya
Dudubaya kimya
Mabinti wa kitanga kimya
Squeezer kimya
Lazima hiki kiwanda cha muziki kina dosari flani si bure

Inawezekana wamebadili fani maana kwa umri walionao sasa na majukumu ya kifamilia, muzik (wa kibongo) hauwafai tena!! Game la bongo ni kwa machipukizi tu ambao bado washambawashamba (wauza sura)!!!
 
Jamaa ameshirikishwa kwenye wimbo mpya na Kimbunga. AUDIO: KIMBUNGA Ft. LEO,
MAJOR POWER, O-TEN & LEO -
"NAPUNGUZA STRESS". MP3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…