Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi zake Bifu lake na afande lilivuma sana ikafikia hadi kuimbana ila ilipendeza pale walipomaliza tofauti zao na kufikia kuimba kibao kwa pamoja wakiujulisha uma uadui sio jambo jema ukizingatia wao wote wawili wanatokea sehemu moja(Mkoa mmoja)
Namkumbuka huyu msela... Na nyimbo ya Nicheki: http://youtu.be/DAaFTkJjhBw
nimemsikia kwenye nyimbo fulani hivi ya
akipendacho binti ft linex
Mtafute sehemu wanazokaa mateja hutamkosa
Hebu nicheki ninavyong'ara..nyimbo yake ya nicheki ilibamba sana.
Huyu kijana alikuwa mkali sijuwi tatizo itakuwa ni nini maana ni long time tumemic michano yake
Afande naye kimya
Dudubaya kimya
Mabinti wa kitanga kimya
Squeezer kimya
Lazima hiki kiwanda cha muziki kina dosari flani si bure
Huyu kijana alikuwa mkali sijuwi tatizo itakuwa ni nini maana ni long time tumemic michano yake
Afande naye kimya
Dudubaya kimya
Mabinti wa kitanga kimya
Squeezer kimya
Lazima hiki kiwanda cha muziki kina dosari flani si bure