Oa au olewa na mtu wa udhaifu wako yule wa matamanio yako ili ujivunie

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
1732051057592.jpg

Hakikisha unakuwa na mtu wa udhaifu wako yaani kuna raha nikisema kuna raha niamini kuna raha jamani. Oana na wa aina yako

Ukimuwaza unapata hisia, huchoki kumtazama, unatembea naye njiani kwa kujiamini. Hutopenda ajihisi mpweke au umtese kihisia

Ndugu yangu usikubali kuambatana na mtu asiye wa udhaifu wako utakuwa mtu wa kujilaumu kwa kuoana naye na utajuta mno

Mapenzi ni hisia, oana na aliye fahari ya macho yako, tulizo na nafsi yako liwazo la moyo wako.

KAKA ANGU usioe kwasababu ya leo huna hela ukaokota tu muhimu anayo utajuta kesho ukifanikiwa kwenye maisha utataka uwe na wa ndoto yako. Hakikisha unaoa mtu wa ndoto yako hata kama leo yako bado haijasimama.

DADA ANGU olewa na mwanaume wa fahari yako yaani yule hata ukimuona unaisha, akikugusa tu unaitika. Mwanaume wa matamanio, fahari yako uenjoy maisha yako

UTAJUAJE kuwa ni kuwa ni TUNU yako, ukiwa naye huoni shida kutumia muda wako, pesa zako na chochote ulichojaliwa kwa ajili yake.

Ukiwa naye unafurahia uwepo wake sana, akiwa mbali na wewe unajihisi kutokamilika (upweke). Hisia zako juu yake ziko hai ukiwa naye lolote lazima litokee. Ametawala moyo akili yako yaani ni mtu wa hisia na ndoto zako

Mtu ambaye uko radhi upoteze ili apate na usemwe vibaya ili yeye awe salama na furaha.
 
OA AU OLEWA NA MTU WA UDHAIFU WAKO YULE WA MATAMANIO YAKO ILI UJIVUNIE
View attachment 3156483

Tafuta hela.....hizi theory hazina nafasi
 
Kuna watu nawagusa sana na hizi uzi zangu,mana si Kwamakasiriko ayo 😂😂😂😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
 
Hata kwa Samson delila alikuwa udhaifu wake,
Tuishi nao kwa akili, mwenye masikio na asikie
 
Back
Top Bottom