bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Imegundulika kua rais obama alidanganya kwa wananchi kuhusu taarifa za kuuliwa kwa Osama,alisema kua Pakistan haikujua lolote kuhusu mission ya marekani kumuua Osama wakati Osama alikua anashikiliwa na serikali ya Pakistani waliokua wanamtumia kama "leverage" yao kwa Taliban na al Qaeda. Pia serikali ya pakistani ilirahisisha kuuliwa kwa osama sababu walikata umeme maeneo aliokua anaishi na maafisa wa Pakistan walimtoa Osama kwa kutaka baada ya kuvutiwa na donge nono la $25m.
Pia Osama hakua na shughuli yeyote aliokua anafanya kipindi hicho,hii ilifanywa ili kuhalalisha mauaji yake na wala hakujibu mashambulio yeyote ila seal team walipewa order ya kumuua.
Zaidi pitia hapa:
Osama Bin Laden was an unarmed elderly 'invalid' when Navy Seals killed him and Barack Obama lied about the mission, report claims - Americas - World - The Independent