Obama alidanganya kuhusu mauaji ya Bin laden

Obama alidanganya kuhusu mauaji ya Bin laden

Wewe umekunywa mkojo wako mwenyewe,ndio maana unapost utumbo
 
Mtoa mada ni mbumbumbu sana,Kama serikali ya pakistani iliisaidia US kumuua Osama kwanini tena ilimkamata Dr aliyeshirikiana na CIA kutoa siri kuhusu hideouts za osama? Kwanini mission ilifanywa na US? Kama pakistani walisaidia hakukuwa na haja ya US kuandaa kikosi mahiri cha makomandoo hatari kama Navy seal,wakitumia chopper ya sound proof,otherwise pakistani wenyewe ndo wangemkamata osama na siyo US kuandaa kikosi,usipende kuamini habari za propaganda kama hizo,US ilijiandaa sana kupata osama,tukio lote linaanzia Guantamano bay,gaidi Al kuwait mfuasi wa osama alipoachiwa akiwa kapandikizwa chip bila yeye kujua ili ku monitor nyendo zake wakijua siku moja angekutana na osama tu,tafuta kitabu cha NO EASY DAY cha komandoo aliyeshiriki na kumuua osama kwa bunduki yake mwenyewe uone mambo yalivyokuwa,achana kabisa na US ni habari nyingine hapa duniani,kuna wajinga wengi wanaamini osama yu hai hajafa,watabaki hivyo hivyo na ujinga wao.

Unaongelea propaganda, unajua maana ya propaganda wewe? Manake kichwa chako 100% kimejaa propaganda.
 
Ungesema hata baada ya kuuliwa alitupwa wapi?
Osama alikuwa mtu hatari sana heri tu alikufa.
 
Unaongelea propaganda, unajua maana ya propaganda wewe? Manake kichwa chako 100% kimejaa propaganda.

ukikuta mhaya ni muislamu kama wewe lazima awe stupid tu,jibu kwa hoja na siyo kuropoka,kama unadhani osama yupo nenda unakojua yupo ukamtembelee.
 
mkuu kwahiyo kwa mtazamo wako Osama bado yupo hai?
 
Wangekua wamemuua wao (Americans) wasingemtupa baharini kwa alivyowasumbua wangemdhalilisha kwanza ndio wamuue
 
Back
Top Bottom