Mtoa mada ni mbumbumbu sana,Kama serikali ya pakistani iliisaidia US kumuua Osama kwanini tena ilimkamata Dr aliyeshirikiana na CIA kutoa siri kuhusu hideouts za osama? Kwanini mission ilifanywa na US? Kama pakistani walisaidia hakukuwa na haja ya US kuandaa kikosi mahiri cha makomandoo hatari kama Navy seal,wakitumia chopper ya sound proof,otherwise pakistani wenyewe ndo wangemkamata osama na siyo US kuandaa kikosi,usipende kuamini habari za propaganda kama hizo,US ilijiandaa sana kupata osama,tukio lote linaanzia Guantamano bay,gaidi Al kuwait mfuasi wa osama alipoachiwa akiwa kapandikizwa chip bila yeye kujua ili ku monitor nyendo zake wakijua siku moja angekutana na osama tu,tafuta kitabu cha NO EASY DAY cha komandoo aliyeshiriki na kumuua osama kwa bunduki yake mwenyewe uone mambo yalivyokuwa,achana kabisa na US ni habari nyingine hapa duniani,kuna wajinga wengi wanaamini osama yu hai hajafa,watabaki hivyo hivyo na ujinga wao.