Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Hahaha kama huku kwetu, Hayati alimwambia mstaafu atulie awe mpoleKila Zama na kitabu chake.Obama atulize wenge.Kila mmoja afanye yake naye aendelee kumbebisha Michelle.
Ila mkuu kulea na kuongoza nchi ni tofautiObama hata watoto wake wawili ameshindwa kuwaongoza wamekuwa mateja, hakika hawezi kumshauri kitu Trump
Kabisa.Ni kuacha fyokofyoko.Kuacha kiherehere na makadhalika yake.Hahaha kama huku kwetu, Hayati alimwambia mstaafu atulie awe mpole
Kuna uhusiano mkubwa sana.Obama aendelee kuvuta goso zake na aache wengine wapambane kivyao.Ila mkuu kulea na kuongoza nchi ni tofauti
Sema mkuu Trump naye ana moto sana, inabidi Senior kama hivyo wamshauriKuna uhusiano mkubwa sana.Obama aendelee kuvuta goso zake na aache wengine wapambane kivyao.
cc;Watu wa vita ya kiuchumi.
Haina uhusiano, ebu heshimu watuObama hata watoto wake wawili ameshindwa kuwaongoza wamekuwa mateja, hakika hawezi kumshauri kitu Trump
Senior hapo ni Trump.Kwa umri,ujuvi na nguvu.Obama anampinga kwa sababu ya tofauti ya kisiasa na vyama tu.Atulie.Sema mkuu Trump naye ana moto sana, inabidi Senior kama hivyo wamshauri
Unataka ajilize kijaluo.Aachane na Trump, kama vp agombee tena .
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ameonya dhidi ya mwenendo wa kisiasa wa Donald Trump, akisema kuwa hatua kama kusitisha vibali vya usalama na kufuta mikataba kwa kampuni zinazohusishwa na wapinzani wa kisiasa ni kinyume na maadili ya kidemokrasia. Akizungumza katika Chuo cha Hamilton, Obama aliuliza kwa msisitizo: "Fikiria kama ningefanya haya yote?", akionyesha tofauti ya namna matendo kama hayo yangepokelewa chini ya uongozi wake.
Obama alikosoa pia hatua za utawala wa Trump kulenga taasisi za elimu ya juu kwa kuzinyima ruzuku, ikiwa ni pamoja na dola milioni 510 kwa Chuo Kikuu cha Brown, na zaidi ya Dola milioni 400 kwa Columbia. Alisema vyuo vikuu havipaswi kukubali vitisho kama havijakiuka sheria wala maadili yao.
Ingawa hakumtaja Trump kwa jina, Obama alitoa mifano ya matendo ya kulenga vyombo vya habari, kama kuzuia Associated Press kwa kukataa jina jipya la "Gulf of America." Alisisitiza kuwa vitendo hivyo vinatishia misingi ya uhuru na demokrasia.
Kauli hizo ni miongoni mwa matamshi yake makali zaidi dhidi ya Trump tangu kampeni za 2024. Obama pia alikumbusha historia ya Trump kumshambulia kisiasa kupitia madai ya uongo ya "birther" na madai ya kudukua mawasiliano ya Trump Tower. Trump, kwa upande wake, amesema kwa mzaha kuwa angependa kugombea dhidi ya Obama iwapo angeweza kuwania muhula wa tatu.
Source USA Today
Trump ni kichaa...mlikose asana marekani kumchagua kichaaRais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ameonya dhidi ya mwenendo wa kisiasa wa Donald Trump, akisema kuwa hatua kama kusitisha vibali vya usalama na kufuta mikataba kwa kampuni zinazohusishwa na wapinzani wa kisiasa ni kinyume na maadili ya kidemokrasia. Akizungumza katika Chuo cha Hamilton, Obama aliuliza kwa msisitizo: "Fikiria kama ningefanya haya yote?", akionyesha tofauti ya namna matendo kama hayo yangepokelewa chini ya uongozi wake.