Umesahau Obama alikuja kuifungua mitambo
ya dowans tukafagia mpaka barabara,
lakini mbona hakuuliza aliyemzaa Dowans ni nani?
Siku Mgabe akitutembea,afu watu wamchangamkie
wala hatutakuwa na haja ya kuwaalika waUSA
watakuja wenyewe na tifu utalisikia,maana taarifa
wanazo kupitia mtandao dhaifu uliovuja (weakleaks)
Sijui kama nimepatia lkn nadhani umeelewa.