Obama amwondoa Blatter ofisini

Obama amwondoa Blatter ofisini

joejou kwamba FIFA wathubutu kuifungia USA kwenye mambo ya soka. ha ha ha ha nani atakaye hajitaki atatoa hiyo kauli?.
 
Last edited by a moderator:
Huku kwetu hata fisadi anataka urais. Waambieni Marekani waje huku.
Umesahau Obama alikuja kuifungua mitambo
ya dowans tukafagia mpaka barabara,
lakini mbona hakuuliza aliyemzaa Dowans ni nani?

Siku Mgabe akitutembea,afu watu wamchangamkie
wala hatutakuwa na haja ya kuwaalika waUSA
watakuja wenyewe na tifu utalisikia,maana taarifa
wanazo kupitia mtandao dhaifu uliovuja (weakleaks)
Sijui kama nimepatia lkn nadhani umeelewa.
 
Mkitaka kukomesha rushwa waiteni wamarekani waje wawakamatieni wezi wenu !!! Watawasomba wote toka Bagamoyo mpaka Bariadi na Monduli!!
 
haya jamali malinzi njoo uku uliyekua unampigia debe jambanzi mwenzenu kaenda na maji
 
Back
Top Bottom