REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Imeripotiwa kuwa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama pamoja na familia yake wamewasili nchini Tanzania kimyakimya Jumapili Julai 8 kwa ajili ya mapumziko ambapo imeelezwa watatumia muda wa wiki moja kushuhudia vivutio mbalimbali vya utalii nchini.
kwa hisani ya mitandao
More updates to come
kwa hisani ya mitandao
More updates to come