jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Ha ha haThis time around, hatudeki barabara.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haThis time around, hatudeki barabara.?
Clouds ni media kubwa hapa Tanzania hawawezi kutoa habari ya uongo, kwanza wangelipa faini kwa sababu wametoa taarifa ambayo haijathibitishwa
Soma hapo juu kwa Mwanzi1, hilo ni gazeti pia limetoa hiyo habariHii habari yote ya Obama kuja Tanzania ilianzia papa hapa Jamii Forums.
Clouds wakichukua hio habari bila kudhibitisha wao wenyewe, na kufuatwa na media zingine.
So far hakuna any independent verification.
Therefore, treat it as fake news.
heroine. Heroin ni kitu ingine kabisa....you are my hero and heroin.
Soma hapo juu kwa Mwanzi1, hilo ni gazeti pia limetoa hiyo habari
ni vyema umemwambia kwanza...jamaa ana tabia mbaya sana ya kukosoa kosoa watu...ile typo tu ila jamaa anaifanya kuwa big deal...Typo; period
Thanx broni vyema umemwambia kwanza...jamaa ana tabia mbaya sana ya kukosoa kosoa watu...ile typo tu ila jamaa anaifanya kuwa big deal...
Kwakwakwakwakwa!! hasira za nini kijana.0 freedom of speech with Maghu-FOOL-i stupid tanzanian