Obama and his entire family are in Tanzania right now

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Imeripotiwa kuwa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama pamoja na familia yake wamewasili nchini Tanzania kimyakimya Jumapili Julai 8 kwa ajili ya mapumziko ambapo imeelezwa watatumia muda wa wiki moja kushuhudia vivutio mbalimbali vya utalii nchini.

kwa hisani ya mitandao
More updates to come
 
Karibu sana mtoto wa Kogelo Barack Hussein Obama na Super Mama Michelle, you are my hero and heroin.
 
Hii ni uongo mtupu
 
Mwenye namba ya
Deogratius Kisandu
amshitue, maana hapa kuna mchumba wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…