Obama atua Tanzania, achoma mamilioni Serengeti

Obama atua Tanzania, achoma mamilioni Serengeti

Saving the last(Kenya) for the best as usual yani Tanzagiza ni curtain raiser.
 
Huku kaja kutumia pesa. Huko labda atakutana na wanasiasa...

It's strange kwa nini hakwenda Kenya labda Amboseli au Masai mara na kumalizia kila kitu huko akaamua kuja kwanza TZ..

Utalii wa TZ umepaa.. majirani MMEPAUKA
Mkuu habari yenyewe yakuokoteza imekaa kisiasa zaidi, subiri idhibitishwe ndo ulete mbwembwe humu..
 
Hii kimya kimya imekaaje? Au ametua na dege letu jipya?
 
Ameona bora akuje kimyakimya, kuliko kutukaniwa shangazizake.... tehteehhh
 
Taarifa rasmi kabisa na za uhakika ni kwamba aliyekuwa rais wa Marekani ndugu Barack Obama yuko Serengeti Tanzania ambapo aliingia kimya kimya yeye na familia yake.
Taarifa kamili inafuata
Mkuu mimi taarifa zako kuziamini mpaka Le Big Brother aziverify. Umetulisha sana matango pori hasa kuhusu TV station ya Le Baharia
 
Obama loves Tanzania more than Kenya, even during his time in office he visited Tz first kabla ya kwenda Kenya,
I assure you this trip intended to visit Tz, nothing else but kuindoa aibu akaona sio mbaya akizuga anaenda kusalimia wajaluo.
 
Huku kaja kutumia pesa. Huko labda atakutana na wanasiasa...

It's strange kwa nini hakwenda Kenya labda Amboseli au Masai mara na kumalizia kila kitu huko akaamua kuja kwanza TZ..

Utalii wa TZ umepaa.. majirani MMEPAUKA
Tanzania ni curtain raiser yani ni kama starter before the main course meal....😀😀😀😀
Tanzagiza
is

Kenya
is
 
Huku kaja kutumia pesa. Huko labda atakutana na wanasiasa...

It's strange kwa nini hakwenda Kenya labda Amboseli au Masai mara na kumalizia kila kitu huko akaamua kuja kwanza TZ..

Utalii wa TZ umepaa.. majirani MMEPAUKA
Kenya ana project anataka kuifanya,ya kuongeza ajira,alikuwa aende na rundo la wafanyabiashara wa marekani,sasa itakuwa labda ndo katika Kenya,baada ya kazi kaja kupumzika serengeti
 
Back
Top Bottom