Obama atua Tanzania, achoma mamilioni Serengeti

Obama atua Tanzania, achoma mamilioni Serengeti

Obama loves Tanzania more than Kenya, even during his time in office he visited Tz first kabla ya kwenda Kenya,
I assure you this trip intended to visit Tz, nothing else but kuindoa aibu akaona sio mbaya akizuga anaenda kusalimia wajaluo.
Yeye mwenyewe alisema akiwa Kenya hakua anataka kuvisit during his first term kwasababu critics wangesema yuko biased. Nyinyi endeleeni kujiconsole.
 
Àlikua anasikiliza wakati yuko rais ? Na je alisema yeye au watu waliskia miziki hyo kwenye gari lake ?


Jaribu kufuatilia... JK ni mtu wa kujichanganya na wavimba macho na ni mpenzi sana wa Bongo fleva na hasa Ally Kiba na ndio maana hata arusini kwake mkewe alienda, ukitaka kumjua kidogo tembelea mitaa aliyokuwa anaishi kabla ya kuwa presdaaar
 
Huku kaja kutumia pesa. Huko labda atakutana na wanasiasa...

It's strange kwa nini hakwenda Kenya labda Amboseli au Masai mara na kumalizia kila kitu huko akaamua kuja kwanza TZ..

Utalii wa TZ umepaa.. majirani MMEPAUKA


Not only that ukweli usiopingika ni kwamba Kenya does NOT have a national park that rivals any of the Tanzania national parks and this is a fact even they know it too. Hiyo Maasai Mara is just a small thing if not a place and it is in fact an extension ya 'The Mighty Serengeti.' Maasai Mara goes into Mighty Serengeti more than 10 times, so you can imagine the choices of animals you get at Serengeti as compared to tiny Maasai Mara. Hiyo Amboseli maybe is close to a Zooo here in Tanzania because hatuna any useless national park here in Tanzania, Obama is not a stupid man....he did his research and knows that Kenya cannot come close to Tanzania when it comes to national parks. Wanaodanganywa ni wazungu wazee wasiojitambua akili. Why would you wanna go to Kenya to see animals in the jungle when you have The Garden of Eden for animals right next door, Tanzania?
 
Tanzania ni curtain raiser yani ni kama starter before the main course meal....😀😀😀😀
Tanzagiza
is


Kenya
is
Tanzania ni appetizer hhahahahaha
 
Yaani nilivyo soma heading, nikakuja nduki nikijua kwamba Obama amechoma hizo mamilioni na sasa zinateketea kwa moto na fire hawajafika..... tehteehhh
 
Taarifa rasmi kabisa na za uhakika ni kwamba aliyekuwa rais wa Marekani ndugu Barack Obama yuko Serengeti Tanzania ambapo aliingia kimya kimya yeye na familia yake.
Taarifa kamili inafuata
Uhakika zaidi kaja nchini Kenya
 
Yeye mwenyewe alisema akiwa Kenya hakua anataka kuvisit during his first term kwasababu critics wangesema yuko biased. Nyinyi endeleeni kujiconsole.
Why not Uganda??? Why Tanzania???
 
Mbona ituume? Nyinyi ni kama mchwa kwenye matako ya Ndovu. KQ hamuwezi pishana nao.

Sijui mkapataje fikra kuwa mtaweza kupishana na KQ, wakati wao wana more than 40 aircrafts na 15 more on the way?

Akili zenu punguani

Acha matusi haikusaidii kitu, ishi maisha yako, heshimu wengine focus kwny family na mambo yako. KQ hata ziwe 700 who cares?
 
Na nyie wabongo acheni utoto, Obama akija bongo lipi limebadilika kwny CV yako?
 
Acha matusi haikusaidii kitu, ishi maisha yako, heshimu wengine focus kwny family na mambo yako. KQ hata ziwe 700 who cares?
Asante kwa marekebisho.. Nitayatilia maanani
 
Back
Top Bottom