MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Huku kaja kutumia pesa. Huko labda atakutana na wanasiasa...Saving the last(Kenya) for the best as usual yani Tanzagiza ni curtain raiser.
Mkuu habari yenyewe yakuokoteza imekaa kisiasa zaidi, subiri idhibitishwe ndo ulete mbwembwe humu..Huku kaja kutumia pesa. Huko labda atakutana na wanasiasa...
It's strange kwa nini hakwenda Kenya labda Amboseli au Masai mara na kumalizia kila kitu huko akaamua kuja kwanza TZ..
Utalii wa TZ umepaa.. majirani MMEPAUKA
Kwanini umsifie magufuli ?kwani yeye ndie kaumba wanyama ?Magufuli ni shida! Hii ni taarifa mbaya sana kwa salary slip na genge la Ufipa. Mtapata tabu sana
Mkuu mimi taarifa zako kuziamini mpaka Le Big Brother aziverify. Umetulisha sana matango pori hasa kuhusu TV station ya Le BahariaTaarifa rasmi kabisa na za uhakika ni kwamba aliyekuwa rais wa Marekani ndugu Barack Obama yuko Serengeti Tanzania ambapo aliingia kimya kimya yeye na familia yake.
Taarifa kamili inafuata
Mzee wa msoga anazikosa sana hizi moment
Tanzania ni curtain raiser yani ni kama starter before the main course meal....ππππHuku kaja kutumia pesa. Huko labda atakutana na wanasiasa...
It's strange kwa nini hakwenda Kenya labda Amboseli au Masai mara na kumalizia kila kitu huko akaamua kuja kwanza TZ..
Utalii wa TZ umepaa.. majirani MMEPAUKA
Akili zako zinakutuma kuwa magufuli kamfata Obama marekani kuja kutalii Serengeti, si ndiyo?Magufuli ni shida! Hii ni taarifa mbaya sana kwa salary slip na genge la Ufipa. Mtapata tabu sana
Kenya ana project anataka kuifanya,ya kuongeza ajira,alikuwa aende na rundo la wafanyabiashara wa marekani,sasa itakuwa labda ndo katika Kenya,baada ya kazi kaja kupumzika serengetiHuku kaja kutumia pesa. Huko labda atakutana na wanasiasa...
It's strange kwa nini hakwenda Kenya labda Amboseli au Masai mara na kumalizia kila kitu huko akaamua kuja kwanza TZ..
Utalii wa TZ umepaa.. majirani MMEPAUKA
Ujinga nipale unapojisifia ujingaTanzania ni curtain raiser yani ni kama starter before the main course meal....ππππ
Tanzagiza
Kenya