Yeye mwenyewe alisema akiwa Kenya hakua anataka kuvisit during his first term kwasababu critics wangesema yuko biased. Nyinyi endeleeni kujiconsole.Obama loves Tanzania more than Kenya, even during his time in office he visited Tz first kabla ya kwenda Kenya,
I assure you this trip intended to visit Tz, nothing else but kuindoa aibu akaona sio mbaya akizuga anaenda kusalimia wajaluo.
Γlikua anasikiliza wakati yuko rais ? Na je alisema yeye au watu waliskia miziki hyo kwenye gari lake ?
Kenya yote nimemaliza lakini Tz ni zaidi hamtuzidi chochoteTembea Kenya
Huku kaja kutumia pesa. Huko labda atakutana na wanasiasa...
It's strange kwa nini hakwenda Kenya labda Amboseli au Masai mara na kumalizia kila kitu huko akaamua kuja kwanza TZ..
Utalii wa TZ umepaa.. majirani MMEPAUKA
Tanzania ni appetizer hhahahahahaTanzania ni curtain raiser yani ni kama starter before the main course meal....ππππ
Tanzagiza
Kenya
Uhakika zaidi kaja nchini KenyaTaarifa rasmi kabisa na za uhakika ni kwamba aliyekuwa rais wa Marekani ndugu Barack Obama yuko Serengeti Tanzania ambapo aliingia kimya kimya yeye na familia yake.
Taarifa kamili inafuata
Saving the last(Kenya) for the best as usual yani Tanzagiza ni curtain raiser.
Why not Uganda??? Why Tanzania???Yeye mwenyewe alisema akiwa Kenya hakua anataka kuvisit during his first term kwasababu critics wangesema yuko biased. Nyinyi endeleeni kujiconsole.
Imekuamsha mapema hivi?Did you eat bile for breakfast?
Mbona ituume? Nyinyi ni kama mchwa kwenye matako ya Ndovu. KQ hamuwezi pishana nao.
Sijui mkapataje fikra kuwa mtaweza kupishana na KQ, wakati wao wana more than 40 aircrafts na 15 more on the way?
Akili zenu punguani
Asante kwa marekebisho.. Nitayatilia maananiAcha matusi haikusaidii kitu, ishi maisha yako, heshimu wengine focus kwny family na mambo yako. KQ hata ziwe 700 who cares?